Header Ads

Responsive Ads Here

DUKA LA KWANZA LA ‘TECNO SMART HUB’ LAZINDULIWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM


1
Kampuni ya Simu za Tecno nchini Tanzania imefungua duka jipya la TECNO SMART HUB linalopatikana China Plaza ghorofa ya chini  karibu na shule ya Benjamini Mkapa jijini Dar es salaam huku likiwa na simu za kijanja pamoja na huduma mbalimbali za kidigitali ambazo zinapatikana hapo.


2
Aidha duka hilo halitauza au kuonesha bidhaa bali wateja watapata fursa ya kufahamu kwa undani zaidi huduma zinazopatikana kwani litawapatia wanunuzi uhuru wa kununua simu na kama wakikuta ina matatizo wanarudisha na kutakuwa na mafundi wa simu
Phone Experience
3
Wakati wa Uzinduzi wateja walipata nafasi ya kushinda zawadi mbalimbali zikiwemo TV ya inchi 32, Feni na vitu mbalimbali, na pia waliweza kupata burudani kutoka kwa crew ya d wachezaji.
4
Marching
TECNO, kama kiongozi wa simu za mkononi, hutoa simu bora za mkononi na huduma bora kwa watumiaji wa Tanzania, na katika TECNO SMART HUB, unaweza kufurahia bora kwa maisha yako mwenyewe ya simu ya mkononi.
Shop Front


No comments