Header Ads

Responsive Ads Here

DK.SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI MBALI MBALI LEO


DSC_8547
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Dkt,Idris Muslim Hija kuwa Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais,hafla iliyofanyika leo katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya Uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.] 24/09/2017.

DSC_8559
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw.Joseph Abdalla Meza  kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi,hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya Uteuzi huo alikuwa Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais,[Picha na Ikulu.] 24/09/2017.
DSC_8575
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw.Juma Ali Juma kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko,hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya Uteuzi huo alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi,[Picha na Ikulu.] 24/09/2017.
DSC_8587
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw.Bakari Haji Bakari  kuwa Katibu Mtendaji wa Bazara la Biashara la Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya Uteuzi huo alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko,[Picha na Ikulu.] 24/09/2017.
DSC_8604
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw.Ali Khamis Juma  kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko,hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya Uteuzi huo alikuwa Naibu Katibu Wizara ya Fedha na Mipango,[Picha na Ikulu.] 24/09/2017.
DSC_8628
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw.Iddi Haji Makame  kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango,  hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 24/09/2017. 
DSC_8647
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw.Abeid Juma Ali  kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba katika  hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba[Picha na Ikulu.] 24/09/2017. 
DSC_8671
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw.Rashid Hadid Rashid kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba katika  hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba[Picha na Ikulu.] 24/09/2017. 
DSC_8706
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bibi Salama Mbarouk Khatibu  kuwa Mkuu wa Wilaya yaMicheweni Pemba katika  hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba[Picha na Ikulu.] 24/09/2017.
DSC_8740
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Kapteni Khatib Khamis Mwadini  kuwa Mkuu wa Wilaya ya Magharibi A.Unguja, hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 24/09/2017. 
 

No comments