Header Ads

Responsive Ads Here

DC MTATURU AZINDUA ZOEZI LA USAJILI NA UTAMBUZI WA WANANCHI WILAYA YA IKUNGI

Afisa wa NIDA Wilaya ya Ikungi Agness Mtei akimpa maelekezo Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu ya namna vitambulisho vya Taifa vinavyotengenezwa mara baada ya kuzinduzi zoezi la usajili na utambuzi kwa wananchi kwa ajili ya kupatiwa vitambulisho vya Taifa.

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu akizungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara wakati wa zoezi la usajili na utambuzi kwa wananchi kwa ajili ya kupatiwa vitambulisho vya Taifa katika Kijiji na Kata ya Dung’unyi.

Katibu wa Cha Cha Mapinduzi Wilaya ya Ikungi Ndg Philiph Elieza akitoa salama za chama kwa wananchi kwenye mkutano wa hadhara wakati wakati wa zoezi la usajili na utambuzi kwa wananchi kwa ajili ya kupatiwa vitambulisho vya Taifa katika Kijiji na Kata ya Dung’unyi.
Wananchi Kijiji na Kata ya Dung’unyi wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu wakati wa zoezi la usajili na utambuzi kwa wananchi kwa ajili ya kupatiwa vitambulisho vya Taifa katika.
Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Mhe akitoa salamu wakati wa zoezi la usajili na utambuzi kwa wananchi kwa ajili ya kupatiwa vitambulisho vya Taifa katika.

No comments