Header Ads

Responsive Ads Here

CHUKUENI HATUA KULINDA IMANI YA WANANCHIKWA MAHAKAMA-KAMATI YA BUNGE


5
Kamatiya Bunge ya Kudumu ya Katiba na Sheria imeitaka Tume ya Utumishi ya Mahakama kuendelea kuchukua hatua za kinidhamu na kisheria kwa watumishi wa Mahakama watakaobainika kukiuka maadili na kuvunja sheria ili kuendelea kukuza na kuimarisha imani ya wananchi kwao.

Kauli hiyo ya Kamati imetolewa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Najma Murtza Giga baada ya kumalizka kwa kikao kati ya kamati hiyo na Tume ya Utumishi wa Mahakama na Uongozi wa Mahakama nchini ambao uliongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba Bw. Amon Mpanju.
Katikakikaohichokilichofanyikamjini Dodoma, TumeyaUtuishiwaMahakamailiwasilishakwakamatihiyoya Bunge taarifayakeyautekelezajikwamwaka 2016/2017.
AkizungumzawakatiwakufungakikaohichoMhe. Giga aliiombaTumenaMahakamakwaujumlakuendeleakuimarishautendajikaziwaoikiwanipamojanakufanyakazinaTaasisizaKuzuianaKupambananaRushwanaSekretarietiyaMaadiliyaViongoziwaUmmanchinikwanikufanyahivyokutaimarishaimaniyawananchikwahudumazitolewazonaMahakamanchini.
AwaliakiwasilishataarifahiyoKatibuMtendajiwaTumehiyoBibiEzeiliMteialisemakatikakusimamiamaadilinanidhamuzawatumishiwaMahakamakwamwakawafedha 2016/2017 tumehiyoilijadilinakufanyamaamuzijuuyamasuala 76 yanidhamukwawatumishiwakadambalimbaliambapo 72 walifukuzwakazinawenginewannewalirejeshwakazini.
Akizungumziachangamotokatikakushughulikiasuala la ukosefuwamafunzokwakamatizamaadili, wamefanyamazungumzonawadaumbalimbaliilikuonauwezekanowakushirikiananaokatikaeneohilo.
PiaamesemawanaendeleakuzungumzanaMakatibuTawalawaMikoanaWilayawenyemamlakayakuendeshaKamatizaMaadilizaMahakimuiliwatengefedhanakutoaelimukwaummajuuyauwepowakamatihizoilwananchiwajuekuwaziponazinafanyakazizake

No comments