Header Ads

Responsive Ads Here

CAVANI,NEYMAR WATUPIA PSG YAIZIMA BAYERN MUNICH 3-0 LIGI YA MABINGWA ULAYA


44CC0D6D00000578-4926606-image-a-103_1506543587826
Matajiri wanaogopeka Dunia kwa sasa toka nchini Ufaransa timu ya Paris Saint-Germain wameichakaza bila huruma Bayern Munich toka Ujerumani jumla ya magoli 3-0 Mchezo wa Ligi ya Mabingwa barani Ulaya Mechi iliyochezwa kwenye dimba la Parc des Princes.

PSG walianza kuhesabu magoli dakika ya 2 Dani Alves aliiandika goli la uongozi baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa Neymar na dakika ya 31 Edinson Cavani alifunga goli la pili akimalizia kazi nzuri ya Kylian Mbappe.
Baada ya kuingia kwa goli hilo liliamsha dude kwa Bayern Munich nakuanza kulisaka lango la PSG kama nyuki huku wakishambulia kwa kasi na kumiliki Mpira asilimia 64 kwa 36 hadi Mapumziko wenyeji walikuwa wanaogoza goli 2-0.
Kipindi cha pili kilianza kwa Bayern kulishambulia kwa kasi lango la PSG hata hivyo ukuta ulikuwa imara ukiongozwa na beki kisiki wa Kibrazili Thiago Silva na Marquinhos ambao waliweza kumkaba vilivyo mshambuliaji hatari Roberto Lewandowski.
Mshambuliaji ghari Dunia Neymar Santos Junior JR alipigilia msumari wa tatu dakika ya 63 na kuweza kuzima kabisa ndoto za Bayern kutaka kurudisha magoli hayo hadi Mpira unamalizika wenyeji wameibuka na ushindi wa jumla ya magoli 3-0 na kufikisha pointi 6 katika kundi lao.
VIKOSI:
PSG (4-3-3): Areola, Dani Alves, Marquinhos, Thiago Silva, Kurzawa, Verratti (Draxler 89), Thiago Motta (Lo Celso 86), Rabiot, Mbappe (Di MarĂ­a 79), Cavani, Neymar
SUBS: Trapp, Kimpembe, Lucas Moura, Meunier
GOALS: Dani Alves (2), Cavani (31), Neymar (63)
BOOKED: Verratti 
BAYERN MUNICH (4-3-3): Ulreich, Kimmich, Sule, Javi Martinez, Alaba, Tolisso (Rudy 46), Thiago, Vidal, Muller (Robben 69), Lewandowski, Rodriguez (Coman 46)
SUBS: Fruchtl, Hummels, Ribery, Rafinha
BOOKED: Kimmich, Vidal, Thiago, Rudy 
REFEREE: Antonio Miguel Mateu Lahoz (Spain)
Edinson Cavani and Neymar put their dispute over penalty duties to behind them during PSG's win over Bayern Munich
Dani Alves gave Paris Saint-Germain the perfect start by firing them in front from close range after Neymar's brilliant run
Bayern Munich's German goalkeeper Sven Ulreich reacts to PSG taking advantage of a blistering start to the evening
 Cavani is congratulated by Kylian Mbappe after combining for PSG's second goal after 31 minutes at the Parc des Princes
Neymar wheels away in delight after lashing in a third goal to inflict a damaging defeat during four weeks of Bayern upheaval

No comments