Header Ads

Responsive Ads Here

BREAKING NEWS:TUNDU LISSU AVAMIWA NA KUPIGWA RISASI


MBUNGE wa Singida Mashariki, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Tundu Lissu amevamiwa na watu wasiojulikana kisha kumpiga.

Tukio hilo linadaiwa kutokea leo akiwa nyumbani kwake Dodoma ambapo watu hao walimvamia akiwa kwenye gari kisha kumpiga risasi.
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa, amekimbizwa katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma ambapo amefikishiwa kwenye chumba cha upasuaji (theatre).

No comments