Header Ads

Responsive Ads Here

BREAKING NEWS:MAHAKAMA YA KISUTU YAMUACHIA HURU MANJI


1
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam, mchana huu, imemuachia huru mfanyabiashara maarufu Yusuph Manji na wenzake watatu baada ya mkurugenzi wa mashtaka nchini DPP kuwasilisha hati ya kumuachia (Nole Prosequie) kuonyesha kuwa hana nia ya kuendelea na mashtaka dhidi yao.

No comments