Header Ads

Responsive Ads Here

AFISA WA MAKAO MAKUU YA CCM AFUNGA NDOA

Hayawi hayawi mwisho huwa. Ofisa wa Makao Makuu ya CCM, Cuthbert Midala na Mkewe Catherine, wakionyesha pete zao vidoleni, baada ya kufunga ndoa mubashara, katika Kanisa la ECWC, Kimara kwa Msuguri, Dar es Salaam, jana, Jumamosi Septemba 16, 2017. Baadaye walihitimsha kwa mnuso mkali uliokutanisha Wazazi, Ndugu, Marafiki na Jamaa, katika Ukumbi wa Msasani Beach Club, pia Dar es Salaam. Zifuatazo ni picha kem kem za tukio hilo, tafadhali, endelea…

No comments