Header Ads

Responsive Ads Here

ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA WILAYANI KALIUA MKOA WA TABORA

 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akimpa pesa mwakilishi wa kwaya ya Viumbe wote kiasi cha shilingi laki moja na nusu kama sehemu ya mchango leo, Ulyankulu, Wilaya ya Kaliua Mkoani Tabora leo, mara baada ya kumaliza kuwahutubia wananchi hao kwenye moja ya ziara yake Mkoani humo. ( Picha na Raymond Urio )
 Mbunge wa Manonga na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Tabora, Seif Khamis Gulamali ( katikati ) akimpa zawadi ya asali Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa mara baada ya kumaliza kuwahutubia wananchi wa Wilaya ya Kaliua Mkoa wa Tabora leo katika Viwanja vya Kolimba. ( Picha na Raymond Urio )
 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kitongoji cha Mnange leo katika Wilaya ya Kaliua Mkoani Tabora leo, katika moja ya ziara zake Mkoani humo. ( Picha na Raymond Urio )
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akimsalimia Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Magdalena Sakaya, mara baada ya kumaliza mkutano wa kuwahutubia wananchi kwenye Viwanja vya Kolimba Wilaya ya Kaliua Mkoa wa Tabora leo, katika moja ya ziara zake mkoani humo. ( Picha na Raymond Urio )

No comments