Header Ads

Responsive Ads Here

ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA MICHEWENI PEMBA


DSC_2828
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na  Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la ZSTC Dkt.Said Seif Mzee mara alipowasili katika  Shamba la Mikarafuu la Kifundi  kwa ajili ya kulikagua shamba hilo na  Mikarafuu katika Wilaya Micheweni akiwa katika mwendelezo wa ziara zake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba,[Picha na Ikulu.]22/08/2017.

DSC_2830
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein na Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Hamad Rashid Mohamed (katikati) wakifuatana na Viongozi wengine wakati alipotembelea Shamba la Mikarafuu la Kifundi  kwa ajili ya kulikagua shamba hilo na  Mikarafuu katika Wilaya Micheweni akiwa katika mwendelezo wa ziara zake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba,(wa pili kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Omar Khamis Othman,[Picha na Ikulu.]22/08/2017.
DSC_2898
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akichuma Karafuu katika Shamba la Mikarafuu la Kifundi leo alipokuwa katika mwendelezo wa ziara zake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba kwa kulikagua Shamba hilo na kufanya zoezi la Uchumaji,(katikati) Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Hamad Rashid Mohamed,[Picha na Ikulu.]22/08/2017.
DSC_2923
Karafuu zilizoanikwa baada ya kuchumwa katika kambi ya karafuu ya Nd,Mohamed Kai Bakar iliyopo katika Kijiji cha Kifundi Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kusini Pemba wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein alipotembelea katika kambi hiyo leo akiwa katika ziara zake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba, [Picha na Ikulu.]22/08/2017.
DSC_2989
Baadhi ya Wananchi wa Kijiji cha Kifundi wakichambua Karafuu katika Kambi ya Nd,Mohamed Kai Bakar iliyopo katika Kijiji cha Kifundi Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kusini Pemba wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein alipotembelea katika kambi hiyo leo akiwa katika ziara zake Mkoa wa Kaskazini Pemba, [Picha na Ikulu.]22/08/2017.
DSC_3138
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Nd,Mohamed Kai Bakar Mmiliki wa Kambi ya Karafuu iliyopo katika Kijiji cha Kifundi Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kusini Pemba leo wakati   alipotembelea katika kambi hiyo  akiwa katika ziara zake Mkoa wa Kaskazini Pemba, [Picha na Ikulu.]22/08/2017.
DSC_3188
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akitoa nasaha zake kwa Viongozi wa wananchi  baada ya Kuchambua karafuu zilizochumwa katika Kambi ya karafuu ya  Nd,Mohamed Kai Bakari iliyopo katika Kijiji cha Kifundi Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kusini Pemba leo wakati   alipotembelea katika kambi hiyo   akiwa katika ziara zake Mkoa wa Kaskazini Pemba, [Picha na Ikulu.]22/08/2017.
DSC_3206
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akipima karafuu kwa kutumia kipimo cha Pishi na kuzimimina katika Kapu maalum baada ya kuchambua karafuu hizo zilizochumwa katika Kambi ya karafuu ya  Nd,Mohamed Kai Bakari iliyopo katika Kijiji cha Kifundi Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kusini Pemba leo wakati   alipotembelea katika kambi hiyo   akiwa katika ziara zake Mkoa wa Kaskazini Pemba,(kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Omar Khamis Othman,na (kulia) Waziri asiekuwa na Wizara Maalum Mhe.Sira Ubwa Mamboya, [Picha na Ikulu.]22/08/2017.
DSC_3207
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akichambua karafuu zilizochumwa katika Kambi ya karafuu ya  Nd,Mohamed Kai Bakari iliyopo katika Kijiji cha Kifundi Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo wakati   alipotembelea katika kambi hiyo  akiwa katika ziara zake Mkoa wa Kaskazini Pemba,(kulia)Waziri asiekuwa na Wizara Maalum Mhe.Sira Ubwa Mamboyana Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed,(kulia) [Picha na Ikulu.]22/08/2017.

No comments