Header Ads

Responsive Ads Here

ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA MKOANI PEMBA LEO

DSC_4823
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wazee na Viongozi wa CCM alipowasili Kijiji cha Milimuni Chokocho kuweka Jiwe la Msingi tawi la CCM Kijijini hapo leo  akiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,
DSC_4849
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuliweka jiwe la msingi Tawi la CCM Milimuni Kijiji cha Chokocho Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo
DSC_4918
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM alipoweka jiwe la msingi Tawi la CCM Milimuni Kijiji cha Chokocho Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo,
DSC_5096
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuliweka jiwe la msingi Jengo la Ofisi ya KMKM Mkoani leo,akiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo katika Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba (kushoto) Mkuu wa KMKM Comodoo Mussa hassan Mussa,
DSC_5170
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Camanda(CAR) Hamadi Masoud Khamis wakati alipotembelea jengo la Ofisi ya KMKM Mkoani Pemba baada ya kuliweka jiwe la msingi akiwa ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba
DSC_5222
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wanannchi na Makamanda wa Kikosi cha KMKM leo mara baada ya  kuliweka jiwe la msingi Jengo la Ofisi ya KMKM Mkoani ,akiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo katika Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba (kulia) Mkuu wa KMKM Comodoo Mussa hassan Mussa
DSC_5244
Baadhi ya Makamanda wa KMKM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na Wananchi na Makamanda hao mara baada ya  kuliweka jiwe la msingi Jengo la Ofisi ya KMKM Mkoani leo,akiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo katika Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba
Picha na Ikulu.24/08/2017.

No comments