Header Ads

Responsive Ads Here

ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA CHAKE CHAKE PEMBA


DSC_5278
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Viongozi mara alipowasili katika Kijiji cha Kiziwani Shungi Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya hiyo

DSC_5289
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Viongozi mara alipowasili katika Kijiji cha Kiziwani Shungi Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya hiyo
DSC_5445
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipofika kutembelea Shamba la Mikarafuu na kuendelea na zoezi la uchumaji wa Karafuu katika Kijiji cha Kiziwani Shungi Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya hiyo leo
DSC_5496
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akimsalimia Mtoto Samira Mussa miezi Miwili aliyechukuliwa na dada yake Lussia Mussa Miaka Kumi na tano wanaoishi katika Kijiji cha Kiziwani Shungi Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,aliwasalimia baada ya   kutembelea Shamba la Mikarafuu leo,akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya hiyo
DSC_5522
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazalishaji Karafuu ZACPO Bw.Kassim Khamis Rashid wakatialipokuwa akiondoka baada ya kulifungua tawi la CCM Tibirinzi Wilaya ya Chake chake leo akiwa katika ziara katika Wilaya ya hiyo katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya hiyo,(kulia) Waziri asiekuwa na Wizara Maalum Mhe.Said Sudi
DSC_5547
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kulifungua Tawi la CCM Tibirinzi leo akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo
DSC_5549
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kufungua  Tawi la CCM Tibirinzi leo akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo,(kushoto) Mwakilishi wa Jimbo la Chakechake CCM Mhe. Suleiman Sarakhani Said
DSC_5575
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akikagua Tawi la CCM Tibirinzi leo baada ya kulifungua akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Abdalla
DSC_5714
Baadhi ya Wanachma wa Chama cha Mapinduzi CCM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Wanachama hao Tawi la CCM Tibirinzi leo baada ya kulifungua rasmi akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba kwa kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo
DSC_5783
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM   Tawi la CCM Tibirinzi leo baada ya kulifungua rasmi akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba kwa kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo,
Picha na Ikulu.25/08/2017

No comments