Header Ads

Responsive Ads Here

ZIARA YA RAIS DK.SHEIN MKOA KUSINI UNGUJA


DSC_7384
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akikata utepe jana kulifungua Tawi la CCM Kizimkazi Dimbani Wilaya ya Kusini Unguja wakati wa ziara yake katika Wilaya hiyo,(kushoto) Mwandawa Said Nassor,

DSC_7425
Baadhi ya wanachama wa Tawi la CCM Kizimkazi Dimbani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao mara baada ya kulifungua Tawi hilo akiwa katika ziara katika Mkoa wa Kusini Unguja jana
DSC_7496
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na WanaCCM wa Tawi la Kizimkazi Dimbani mara baada ya kulifungua Tawi hilo akiwa katika ziara katika Mkoa wa Kusini Unguja jana (kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Bw.Ramadhan Abdalla Ali
DSC_7565
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akifungua pazia kama ishara ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Ujenzi wa Nyumba ya Daktari katika Kijiji cha Muyuni “B” Wilaya ya Kusini Unguja alipofanya Ziara ya kutembelea Miradi ya Maendeleo katika Wilaya   hiyo jana,
DSC_7598
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiwasalimia wananchi  katika Kijiji cha Muyuni “B” Wilaya ya Kusini Unguja baada ya kuweka   Jiwe la Msingi Ujenzi wa Nyumba ya Daktari  katika kijiji hicho jana alipofanya Ziara ya kutembelea Miradi ya Maendeleo katika Wilaya   hiyo,
DSC_7764
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati ) alipokuwa akibadilishana mawazo na Waziri wa Ncho Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Haji Omar Kheri jana baada ya kumalizika kwa Mkutano wa majumuisho ya Ziara yake katika Mkoa wa Kusini Unguja,uliofanyika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Kampasi ya Tunguu Wilaya ya kati Unguja (kulia) Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja Mashavu Sukwa,
DSC_7773
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati ) alipokuwa akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja Mashavu Sukwa baada ya kumalizika kwa Mkutano wa majumuisho ya Ziara yake katika Mkoa wa Kusini uliofanyika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Kampasi ya Tunguu Wilaya ya kati Unguja 
DSC_7787

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ametoa agizo la kusimamishwa kwa Ujenzi wa majengo katika Kiwanja Kilichokabidhiwa Wizara ya Afya bila ya Serikali kuwa taarifa rasmi kuhusu Ujenzi huo unaoendelea katika Eneo la Binguni Wilaya ya Kati Unguja,awali eneo hilo Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira walikikabidhi kwa Wizara ya Afya,Wizara zinazohusika zimetakiwa kutoa taarifa juu ya Ujenzi unaofanyika katika kiwanja hicho,

[Picha na Ikulu.] 18/08/2017.

No comments