Header Ads

Responsive Ads Here

ZIARA YA RAIS DK.ALI MOHAMED SHEIN WILAYA YA WETE PEMBA


DSC_3656
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohmed Shein (kushoto)alipofuatana na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji pia Kaimu Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe.Balozi Ali Abeid Karume leo wakati alipotembelea Kituo cha Kununulia karafuu Bandarini Wete mkoa wa kaskazini Pemba akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo

DSC_3995
Baadhi ya wafanyakazi wa Kituo cha Ununuzi wa Karafuu wa Bandarini Wete Pemba wakiwa katika zoezi la Utiaji wa karafuu katika magunia ambazo zimeshanunuliwa na Shirika la ZSTC wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohmed Shein (hayupo pichani) alipotembelea Kituo hicho katika Bandarini Wete Mkoa wa kaskazini Pemba leoakiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo,[Picha na Ikulu.]23/08/2017. 

No comments