Header Ads

Responsive Ads Here

ZIARA YA KAMATI YA BAJETI SOMANGAFUNGU LINDI


SOMANGA 1
Mhandisi wa Mitambo ya kuzalisha umeme ya Somangafungu, Mr Edwin Ngonyani akitoa maelezo kwa Kamati ya Bunge ya Bajeti.

SOMANGA 2
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti  wakiangangalia mitambo ya kuzalisha umeme iliyoko Somangafungu mkoani Lindi.
SOMANGA 3
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti  wakiangangalia mitambo ya kuzalisha umeme iliyoko Somangafungu mkoani Lindi.wa kwanza mbele ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo,Mhe.Hawa Ghasia na mtaalamu kutoka kituo hicho Rusajo Ndaga.

No comments