Header Ads

Responsive Ads Here

Yaliyojiri usiku wa maadhimisho ya miaka 40 ya safari Lager


safari 1
Meneja wa bia ya Safari,Edith Bebwa (kulia) akimkabidhi tiketi ya ushindi, Zuwena Omar, katika usiku huo kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam

safari 2
Mwanamuziki ,Ray C katika pozi na Meneja wa Bia ya Safari
safari 3
Mwanamuziki Ray akibadilishana mawazo na Maofisa Waandamizi wa  TBL Group
safari 4
Mwanamuziki ,Juma Nature akiwasha moto katika tamasha hilo la kukata na shoka
safari 5
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Group katika picha ya pamoja wakati wa tamasha hilo lililofanyika katika viwanja vya leaders club.
safari 6
Mashabiki na wafanyakazi waliohudhuria wakiserebuka  wakati wa tamasha hilo la miaka 40 ya bia ya Safari Lager
safari 7
Mashabiki na wafanyakazi waliohudhuria wakiserebuka  wakati wa tamasha hilo la miaka 40 ya bia ya Safari Lager
……………………………………………………..
Wafanyakazi wa kampuni ya TBL Group waliungana na wakazi wengine wa jiji la Dar es Salaam katika tamasha la  kuadhimisha miaka 40 ya bia ya safari Lager ambayo inatengenezwa na kampuni hiyo lililofanyika katika viwanja vya Leaders Club
 
Tamasha hilo la usiku wa safari lilisheheni kila aina ya burudani za muziki kutoka kwa wasanii nguli nchini sambamba na utoaji wa zawadi mbalimbali bila kusahau misosi ya kila aina ya kusindikiza ‘maadhimisho ya miaka ya 40 ya bia hiyo kongwe ,bora na maarufu hapa nchini na nje ya mipaka ya  nchi.

No comments