Header Ads

Responsive Ads Here

WIZARA ZAUNGANA KUDHIBITI UHALIFU BARABARANI KWA NJIA YA KAMERA


PIX 1

Naibu Waziri Wizara ya Mambo yaNdani yaNchi,Mhandisi Hamad Masauni (kushoto waliokaa)na Naibu Waziri Wizara yaUjenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA),Gillard Ngewe,walipotembelea kituo cha kufuatilia mwenendo wa mabasi,kilichopo jijini Dar es Salaam, ikiwa katika Mpango wa Wizara hizo kushirikiana katika kudhibiti uhalifu wa barabarani kwa kutumia mifumo maalumu

PIX 2
Mtaalamu wa Mifumo ya Komputa kutok aMamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), Godfrey Nsato, akifafanua jinsi Mfumo wa Kufuatilia Mwenendo wa Mabasi unavyofanyakazi kwa Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto waliokaa) na Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani,walipotembelea Kituo cha Kufuatilia Mwenendo wa Mabasi,kilichopo jijini Dar es Salaam,ikiwa katika Mpango wa Wizara hizo kushirikiana katika kudhibiti uhalifu wa barabarani kwa kutumia mifumo maalumu.
PIX 3
Naibu Waziri Wizaraya Mambo yaNdaniyaNchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumzanaWaandishiwahabaribaadayakutembeleaKituo cha   KufuatiliaMwenendowaMabasi,kilichopojijini Dar es Salaam, ikiwakatikaMpangowaWizarahiyokushirikiananaWizarayaUjenzi,UchukuzinaMawasilianokatikakudhibitiuhalifuwabarabaranikwakutumiamifumomaalumu.
PIX 4
Naibu Waziri WizarayaUjenzi,UchukuzinaMawasiliano,Mhandisi Edwin Ngonyani, akizungumzanaWaandishiwahabaribaadayakutembeleaKituo chaKufuatiliaMwenendowaMabasi,kilichopojijini Dar es Salaam, ikiwakatikaMpangowaWizarahiyokushirikiananaWizarayaMambo yaNdaniyaNchi,kudhibitiuhalifuwabarabaranikwakutumiamifumomaalumu.
PIX 5
Naibu Waziri Wizaraya Mambo yaNdaniyaNchi,Mhandisi Hamad Masauni(watatukulia),Naibu Waziri WizarayaUjenzi,UchukuzinaMawasilianoMhandisi Edwin Ngonyani(wapilikulia), wakiwakatikapichayapamojanaViongoziWaandamiziwaMamlakayaUdhibitiUsafiriwaNchiKavunaMajini(SUMATRA) naJeshi la Polisi Kitengo cha UsalamaBarabarani, baadayakumalizakutembeleaKituo cha   KufuatiliaMwenendowaMabasi,kilichopojijini Dar esSalaam.WenginewaliokaaKulianiMakamuMwenyekitiwa SUMATRA, Hilda GondwenaKushotoniMkurugenziMkuuwaMamlakayaUdhibitiUsafiriwaNchiKavunaMajini(SUMATRA),Gillard Ngewe.
PIX 6
Naibu Waziri Wizaraya Mambo yaNdaniyaNchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiagananaMkurugenziMkuuwaMamlakayaUdhibitiUsafiriwaNchiKavunaMajini (SUMATRA),Gillard Ngewe (Kushoto), baadayakumalizaziarayakutembeleaKituo cha KufuatiliaMwenendowaMabasi,kilichopojijini Dar esSalaam.KulianiNaibu Waziri WizarayaUjenzi,UchukuzinaMawasilianoMhandisi Edwin Ngonyani.PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

No comments