Header Ads

Responsive Ads Here

WAZIRI UMMY AMUAGIZA RMO WA RUKWA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA KATIKA NGAZI ZOTE ILI KUTEKELEZA SERA YA AFYA


NA WAMJW-RUKWA.
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya jamii,jinsia ,Wazeee na watoto Ummy Mwalimu amemuagiza Mganga mkuu wa mkoa wa Rukwa kuboresha huduma za afya katika ngazi zote ilikuwasaidia wananchi wa mkoa huo kulingana na sera ya afya.

Hayo ameyasema leo wakati wa ziara yake ya kukagua huduma za Afya katika Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa.
“Maelekezo yangu ni tujenge hospitali zetu za Wilaya kwa sababu pia idadi ya watu inazidi kuongezeka hivyo zitasaidiana na zile za taasisi zisizo za kiserikali ilikutimiza sera na miongozo ya Serikali”
AidhaWaziri UmmyamemtakaMgangaMkuuwaMkoakufuatiliakwaukaribuhudumazitolewazonahospitalizataasisizisizoZakiserikaliilikuhakikishakwambazinafuatamiongozona sera yaAfyayaSerikali.
Kwa upande wake Mganga mkuu wa Mkoa wa Rukwa Dkt. Boniface Kasulu amesema kuwa kuna changamoto mbalimbali zinazoikumba Mkoa wake zikiwemo upungufu wa watumishi wa Afya kwani Mkoa unahitaji jumla ya watumishi 3489 lakini waliopo ni watumishi 1593 sawa na 46% huku kukiwa na upungufu wa watumishi 1895 ambayo ni sawa na 54%.
AidhaDkt. BonifaceamesemakuwalichayachangamotozilizopoameipongezaSerikaliyaawamuyaTanokupitiaWizarayaAfya, maendeleoyajamii, Jinsia, WazeenaWatotonaushirikianonawadaumbalimbalikwakuwajengeavyumbavyaupasuajikatikavituotisahukuvituositavikiwavinamilikiwanaSerikalijambolinalosaidiakupunguzavifovitokanavyonakukosaupasuajikwamuda.
MbalinahayoDkt. Boniface KasuluamempongezaMh. Raiswa Tanzania Dkt. John Pombemagufulikwakuwapatiamagarimawiliyakubebeawagonjwajamboambalolimesaidiakupunguzahadhayahospitalinyingiikiwemovifovya mama wajawazito.

No comments