Header Ads

Responsive Ads Here

WAZIRI PROFESA MBARAWA AFANYA MAZUNGUMZO NA WADAU WA MAENDELEO NCHINI


1
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (Wa tatu kulia), akizungumza na Rais wa Kampuni ya China Civil Engineering Construction Cooporation (CCECC) Bw. Zhao Dianlong kuhusu maendeleo ya ujenzi wa  barabara za maingiliano katika eneo la Ubungo (Ubungo interchange), leo jijini Dar es Salaam.

2
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (Wa pili kulia), akizungumza na Makamu wa Rais wa kampuni ya China Harbour Engineering Company Ltd Bw. Liyi .. kuhusu upanuzi wa Bandari ya Dar es Salaam, Leo Jijini Dar es Salaam.
3
Makamu wa Rais wa kampuni ya China Harbour Engineering Company Ltd Bw. Li-yi (Wa tatu kulia), akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (Wa pili kushoto), kuhusu shughuli za Upanuzi wa Bandari ya Dar es Salaam, leo jijini Dar es Salaam.
4
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (Wa pili kulia) akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Tanzania  Bw. Song Geum-young (Kulia), kuhusu miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na nchi yake hapa nchini.
5
Balozi wa Jamhuri ya Korea  Bw. Song Geum-young  (Kulia) akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (Wa tatu kulia), kuhusu maendeleo ya Miradi mbalimbali nchini.
Picha na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano

No comments