Header Ads

Responsive Ads Here

WAZIRI MKUU MAJALIWA, MKEWE NA VIONGOZI WENGINE WA SERIKALI WAMJULIA HALI MBUNGE GENZABUKEWaziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mke wake Mary wamjulia hali  leo August 13, 2017 ,Mbunge wa Viti maalumu CCM Mkoa wa Kigoma  Mheshimiwa Josephine Ngezabuka .ambaye amelazwa kwa matibabu katika Hosptali ya Muhimbili (MOI) Baada yakupata ajali hivi karibuni Mkoani Kigoma. katikati mwenye miwani ni Naibu spika Dk,Tulia Akson.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu Spika Dr Tulia Akson mwenye miwani  akiwa na Waziri wa Elimu Prof Joyce Ndalichako (c) pamoja na Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Arusha Mheshimiwa Catherine Magige. wamjulia hali  leo August 13.2017 ,Mbunge wa Viti maalumu CCM Mkoa wa Kigoma  Mheshimiwa Josephine Ngezabuka ,ambaye amelazwa  kwa matibabu katika Hosptali ya Muhimbili (MOI) Baada yakupata ajali hivi karibuni Mkoani Kigoma.

No comments