Header Ads

Responsive Ads Here

WAZIRI MKUU MAJALIWA AITAKA WIZARA YA UTALII KUONGEZA UBUNIFU.


PMO_9750
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ,kushoto akikabidhi  Jarida lakutangaza Utalii wa Tanzania KwaKiongozi wamaswala ya Utalii katika Mkoa wa Matanzas .Bwana  Luis Marines ,jana August 23/2017 wakati alipokuwa katika Ziara yakikazi kwenye Mji  wa Varadero Mkoa wa Matanzas Nnchini Cuba katikati katika picha ni Mama Mary Majaliwa

PMO_9820
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (mwenye miwani)na Mama Mary Majaliwa (kulia) .pamoja na Ujumbe wa Serekali ya Tanzania wakipata maelezo jana August 23/2017kutoka kwa Kiongozi wa Utalii katika Mkoa wa Matanzas ,Bwana Luis Martines. jinsi fukwe za Bahari zinavyo tunzwa nakuwa kivutio kwa Watalii wanao tembelea Mji wa Varadero Mkoa wa Matanzas Nnchini Cuba
PMO_9890
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (mwenye shati jeupe) na Mama Mary Majaliwa (kushoto)pamoja na ujumbe wa serekali ya Tanzania jana August23/2017. wakipata maelezo kutoka kwa muongoza wa Talii Bibi Yanseli Marrero kuhusu  biashara ya Boti za Utalii  kwenye fukwe za Bahari katika Mji wa Varadero  Mkoa wa Matanzas Nnchini Cuba
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments