Header Ads

Responsive Ads Here

WAZIRI MKUU AKUTANA NA MAKAMU WA RAISI WA KAMPUNI YA UTENGENEZAJI MELI UFARANSA


PMO_0624
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Makamu wa Raisi wa Kampuni (Uendelezaji Bibiashara) wa Kampuni ya PIRIOU ya  utengenezaji na ukarabati wa  meli nchini Ufaransa. Bwana Michel Perrin .kulia ni Balozi wa Tanzania Nchini Ufaransa Bwana Samweli Shelukindo.Waziri Mkuu amekuana naye leo Agost 29/2017 Parisi Ufaransa
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments