Header Ads

Responsive Ads Here

Washiriki wa Mafunzo ya PlanRep Wafurahisha na Ufanisi Wake


PIX1
Mwakilishi wa Ofisi ya Rais, TAMISEMI na Muwezeshaji kuhusu Mfumo mpya wa Uandaaji Mipango na Bajeti katika Serikali za Mitaa (PlanRep) Bw. Jeremiah Mtawa akielezea namna mfumo huo unavyotumika katika sekta ya afya leo Jijini Mbeya. Semina hiyo imeandaliwa na USAID/Tanzania kwa kushirikiana na Serikali kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3).

PIX2
 Muwezeshaji kuhusu Mfumo mpya wa Uandaaji Mipango na Bajeti katika Serikali za Mitaa (PlanRep) Bw. Jeremiah Mtawa akielezea namna mfumo huo unavyotumika katika sekta ya afya leo Jijini Mbeya. Semina hiyo imeandaliwa na USAID/Tanzania kwa kushirikiana na Serikali kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3).
PIX3
Katibu wa Afya wa Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza na Muwezeshaji katika semina kuhusu Mfumo mpya wa Uandaaji wa Mipango na Bajeti katika Serikali za Mitaa (PlanRep) Bi. Glory Mollel akifafanua jambo wakati wa semina kuhusu mfumo huo inayoendelea Jijini Mbeya leo. Semina hiyo imeandaliwa na USAID/Tanzania kwa kushirikiana na Serikali kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3).
PIX4a
Baadhi ya washiriki wa semina kuhusu Mfumo mpya wa Uandaaji wa Mipango na Bajeti katika Serikali za Mitaa (PlanRep) wakifuatilia mada wakati wa semina hiyo leo Jijini Mbeya. Semina hiyo imeandaliwa na USAID/Tanzania kwa kushirikiana na Serikali kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3).
PIX4b
Picha na: Idara ya Habari – MAELEZO, Mbeya

No comments