Header Ads

Responsive Ads Here

WANAFUNZI WA LUCK VICENT WAREJEA KUTOKA NCHINI MAREKANI WALIKOKUWA WAKITIBIWA MAJERAHA YA AJALI1A
Ndege iliyowaleta wanafunzi hao kutoka nchini Marekani mara baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airpot mkoani Kilimanjari leo.

01A
 Wanafunzi wawili miongoni mwa watatu waliorejea leo kutoka kwenye matibabu nchini Marekani2A
Baadhi ya wanafunzi wamejitokeza kuwapokea manusura watatu wa ajali ya basi la wanafunzi wenzao wa Shule ya Lucky Vincent ya Arusha wakitokea Marekani ambako walikuwa wanapatiwa matibabu.
3A
Wanafunzi hao wakiwa wameketi pamoja na wazazi na ndugu na jamaa pamoja na madaktari waliowaleta kutoka nchini Marekani walikokuwa wakitibiwa kutokana na majeraha ya ajali ya basi ililokuwa limewabeba wanafunzi wa shule ya Luck Vicent huko Karatu
4A5A

No comments