Header Ads

Responsive Ads Here

WAKULIMA NA WAFANYABIASHARA WATAKIWA KUTOA SAMPULI ZA VYAKULA

1
Na Mahhmoud Ahmad Arusha
Wito umetolewa kwa  kwa waanyabiashara ,Wakulima na wafugaji
waendelee kutoa  ushirikiano wa kuhakikisha kwamba wanatoa sampuli zao
za vyakula /bidhaa kwenye Tume ya nguvu za Atomiki Tanzania kwaaajili
ya uhakiki wa viasilia vya mionzi  ili kuweza kuwalinda watanzania na
madhara yatokanayo na mionzi
Hayo yamesemwa na Afisa mahusiano mwandamizi kutoka tume ya nguvu za
Atomiki Tanzania Peter Ngamilo mkoani Arusha ambapo amesema kuwa  Tume
hiyo inajihusisha na udhibiti wa vyanzo vya mionzi kuhamasisha
matumizi salama teknolojia ya nyuklia
Amesema kuwa lengo la kushiriki maonyesho ya nanenane
Kutoa elimu kwa wafanyabiashara wanaosafirisha bidhaa za vyakula nje
ya nchi au kuingiza bidhaa za mazao ya kilimo ndani ya nchi kwani kazi
yao kubwa ni kuangalia vimelea vyote vya mionzi kwenye chakula.
Ngamilo amesema kuwa mwitikio wa wakulima na wafugaji ni mkubwa mara
baadaya kupata elimu wengine walikuwa wagumu kuleta sampuli za vyakula
ili vipimwe mara baada ya kupata elimu wameleta sampuli za vyakula ili
vikapimwe
“Miaka ya nyuma tulikuwa tunapata taabu sana pale unapomuelewesha
mkulima au mfugaji kuhusiana na kuleta sampuli za vyakula kwenye Tume
ili vikapimwe ila tunashukuru baada ya kupata elimu wakulima wenyewe
wamekuwa wakileta sampuli ili zikzpimwe”alisema
Wamita kupata elimu juu ya upimaji wa sampuli tofauti na miaka mingine
Kwa upande wake Mwanasayansi wa mionzi Denisi Mwalongo amesema kuwa
jukumu kubwa la tume ni kulinda wananchi dhidhi ya madara yanayoweza
kusababishwa na mionzi huku akiainisha aina kuu mbili za mionzi ambayo
ni Miaonzi ayonishi na Mionzi isiyoayonisha .
“Mionzi isiyoayonisha ni mionzi ambayo inaweza kuleta madhara kwa
binadamu mfano xray gamareys,
Isiyoayonisha ni kama mionzi ya simu radio”Alisema.
Nchi zaidi 152 duaniani wanachama wa tume za nguvu za atomiki duniani
Hadi sasa hawajaweza kubaini nguvu za mionzi katika vyakula
vinavyoingia kutokana na ushirikiano walionao katika utendaji kwani
vyakula vikitoka nje vinapimwa vikiingia vinapimwa pia mionzi iliyopo
ni ya kawaida haijavuka hadi kuonekana ni hatari kwa mwanadamu
“Mionzi inaweza kusababisha ukemia au kansa
Ukitumia muda mrefu sana kuongea na simu kwa muda mrefu,kukaa kwenye
kompyuta muda mrefu,kuhifadhi simu katika maeneo hatarishi katika
baadhi ya sehemu za mwili kwasababu miili yetu ni tishu inazalisha
mionzi kwa haraka sana”

No comments