Header Ads

Responsive Ads Here

WADAU WA MAENDELEO YA JAMII WAKUTANA KUDURUSU SERA YA MAENDELEO YA WANAWAKE NA JINSIA MJINI DODOMA.


Pix 1
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto (Idara kuu Maendeleo ya Jamii) Bibi Sihaba Nkinga akizungumza na wadau wa Maendeleo ya jinsia wakati walipokutana kujadili maboresho ya Sera ya Maendeleo  ya jinsia  na Wanawake tukio liliofanyika ukumbi wa Wizara iliyoko UDOM Dodoma, mkoani Dodoma tarehe 4.8.2017.

Pix 2
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jinsia Bw. Julius Mbilinyi akifafanua jambo kwa  wadau wa Maendeleo ya Jamii wakati walipokutana kujadili Sera ya Maendeleo ya Jinsia na Wanawake Mjini Dodoma leo Agosti 04,2017.
Pix 3
Mtaalamu Mwelekezi Prof. Lina Mhando akiwasilisha mada maalum katika kikao cha kujadili maboresho ya Sera ya Maendeleoa ya Wanawake na jinsia Mjini Dodoma leo Agosti 04,2017.
Pix 4
Kamisha Msaidizi Ustawi wa Jamii Bw. Twaha Kibalula akichangia hoja katika kikao cha kujadili  maboresho ya Sera ya Maendeleoa ya Wanawake na Jinsia Mjini Dodoma leo Agosti 04,2017.
Pix 5
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Wa Watoto Bibi Magreth Musai akichangia hoja katika kikao cha kujadili  maboresho ya Sera ya Maendeleo ya Wanawake na Jinsia Mjini Dodoma leo Agosti 04,2017.
Pix 6
Afisa Maendeleo ya jamii Wilaya ya Kongwa Bw. Stephen Mwendi(katikati) akiuliza swali kwa Mtaalamu Mwelekezi Prof Lina Mhando kuhusu maboresho ya Sera ya Maendeleo ya Wanawake na jinsia inayojadiliwa Mjini Dodoma leo Agosti 04,2017.
Pix 7
Mwakilishi kutoka Asasi isiyo ya kiserikali ya FPCT Bi. Witness Sangali akichangia katika kikao cha maboresho ya Sera ya Maendeleo ya Wanawake na Jinsia inayojadiliwa katika ukumbi wa Wizara UDOM, mkoani Dodoma leo Agosti 04, 2017.
Pix 8
Afisa Maendeleo ya Jamii kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Bw. Burton Mwakilembe akichangia hoja kuhusu maboresho ya Sera ya Maendeleo ya Wanawake na Jinsia inayojadiliwa Mjini Dodoma leo Agosti 04, 2017.
Pix 9 b
Baadhi ya wadau wa Maendeleo ya Jamii wakifuatilia maoni ya washiriki kuhusu maboresho ya Sera ya Maendeleo ya Jinsia na Wanawake inayojadiliwa katika ukumbi wa Wizara UDOM, Mjini Dodoma leo Agosti, 2017.
Picha na Erasto Ching,oro WAMJW

No comments