Header Ads

Responsive Ads Here

VIDEO:WILAYA YA NAMTUMBO KUBORESHA HUDUMA ZA ELIMU.


A
Mkuu wa wilaya ya namtumbo luckiness amlima amekagua ujenzi wa mabweni, vyumba vya madarsa na vyoo katika shule ya sekondari NASULI na NANUNGU iliyopo wilayani hapo na kuridhishwa na ujenzi wake ambao hadi kukamilika kwake  itagaharimu kiasi cha shilingi milioni mia tano na kumi na nane.

No comments