Header Ads

Responsive Ads Here

VIDEO:WANANCHI WAMETAKIWA KUJUA TAARIFA ZA MIRADI INAYOTEKELEZWA NA SERIKALI


hq720
Shirika lisilo la kiserikali la AESH linalojishughulisha na utoaji wa elimu kuhusu matumizi sahihi ya fedha zinazotolewa na serikali kupitia miradi mbalimbali ikiwemo elimu,utuzaji wa mazingira,kilimo na ujasiriamali,kutoka wilaya ya TUNDURU mkoani RUVUMA linatarajia kuanza kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali kupitia mfuko wa elimu


No comments