Header Ads

Responsive Ads Here

VIDEO:WADAIWA SUGU WA ANKARA ZA MAJI WAKATIWE HUDUMA.

Mkuu wa mkoa wa RUVUMA DK BILINITH MAHENGE amemwagiza DK ANSEL MTALIMO kuhakikisha manipsaa ya SONGEA inakatiwa maji kutokana na deni  wanalodaiwa na mamlaka ya maji safi na taka SOWASA  kutokana na wao kuwa vinara wakutolipa akara za maji kwa muda mrefu.

No comments