Social Icons

b

b

w

w

.

Sunday, August 27, 2017

VIDEO:DKT MAHENGE KUWAFUNDA MAAFISA UGANI MKOANI RUVUMA.

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma DKT.  BILINITH MAHENGE amewataka wadau wa kilimo na mafisa ugani kuhakikisha wanatoa taarifa sahihi juu ya uzalishaji wa zao la Soya ambalo limeonekana kuwa na tija katika mikoa ya Mbeya,Njombe na Ruvuma kutokana na hali ya hewa iliyopo katika mikoa hiyo.

No comments:

Post a Comment