Header Ads

Responsive Ads Here

VIDEO – TUNDURU WAANZA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS KWA VITENDO.

Mkuu wa wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma Juma Homera .
Serikali ya Wilaya ya Tunduru imeanza kutekeleza kwa vitendo agizo la Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli la kujenga kituo cha Afya kila kata kwa nchi nzima, Ambapo wilaya hiyo tayari imenza ujenzi wa kituo cha Afya katika kata ya Nakayaya . Ujenzi wa kituo hicho cha Afya umefikia hatua ya kuezekwa na unatarajiwa kukamilika mwakani .Hii hapa video yenye habari hiyo.
Virus-free. www.avast.com Attachments area Preview YouTube video TUNDURU WAANZA KUTEKELEZA AGIZO LA WAZIRI MKUU LA KUWA NA KITUO CHA AFYA KILA TARAFA KWA KUJENGA KI TUNDURU WAANZA KUTEKELEZA AGIZO LA WAZIRI MKUU LA KUWA NA KITUO CHA AFYA KILA TARAFA KWA KUJENGA KI

No comments