Header Ads

Responsive Ads Here

Video Mpya: MSANII MDOGO KULIKO WOTE WA NYIMBO ZA ASILI,LEMI KUTOKA BARIADI - BHAKOLILWEMalunde1 blog inakualika kutazama video mpya ya Msanii wa nyimbo za asili mdogo kuliko wote kanda ya ziwa Lemi kutoka Bariadi mkoani Simiyu akimshirikia Masong'we wimbo unaitwa Bhakolilwe.Video hii imetengenezwa Bujiku Faster Studio 'BFaster Production' ya Bariadi mkoani Simiyu

Tazama video hii hapa chini

No comments