Header Ads

Responsive Ads Here

VIDEO – AREJESHWA KAZINI BAADA YA KUTUMBULIWA KWA KOSA LA KUIINGIZIA HASARA SERIKALI ZAIDI YA MILIONI 700


Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Ambros Nchimbi
Baraza la madiwani la halmashauri ya wilaya ya mbinga mkoani ruvuma, limeazimia kumrejesha kazini mhandisi wa halmashauri hiyo na kumlipa nusu mshahara kwa kipindi cha mwaka mmoja Mhandisi Vivian Mndolwa.

No comments