Header Ads

Responsive Ads Here

TYVA YAWAKUTANISHA VIJANA SIKU YA KIMATAIFA YA VIJANA JIJINI DAR ES SALAAM

Baadhi ya vijana wa mkoa wa Dar es Salaam walioshiriki maadhimisho ya Siku ya Vijana Dunia ambayo ilifanyika katika Shule ya Sekondari Kibasila Jijini Dar es Salaam, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya maadhimisho hayo. (PICHA NA MPIGA PICHA WETU)

Baadhi ya Viongozi kutoka Asasi za Vijana wakiwapungia mkiono baadhi ya vijana wenzao walioshiriki maadhimisho ya Siku ya Vijana Dunia ambayo ilifanyika katika Shule ya Sekondari Kibasila Jijini Dar es Salaam jana. Asasi hizo ni TYVA, UNA na East Africa Youth Club. Kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni “ushiriki na ushirikishwaji wa vijana katika kudumisha amani” ambayo imetokana na lengo namba 16 la maendeleo endelevu ya millennia.

Baadhi ya vijana wa mkoa wa Dar es Salaam walioshiriki maadhimisho ya Siku ya Vijana Dunia ambayo ilifanyika katika Shule ya Sekondari Kibasila Jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na viongozi a kutoka Asasi za Vijana. Asasi hizo ni TYVA, UNA na East Africa Youth Club. Kauli mbiu ya maadhimisho hayo  ni “ushiriki na ushirikishwaji wa vijana katika kudumisha amani” ambayo imetokana na lengo namba 16 la maendeleo endelevu ya millennia.

No comments