Header Ads

Responsive Ads Here

Tume ya Uchaguzi Yavitaka Vyombo vya Habari Nchini Kuiga Wenzao wa Kenya


1
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani (kulia) akifafanuajambo wakati akizungumza na Mtangazaji wa AzamTvNurdinSelemanikupitia kipindi cha Mizani ya Wiki kilichorushwajanaJumapili hii.

2
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani (kushoto)akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Azam Media, TidoMhando baada ya kushirikia kwenye kipindi cha Mizani ya Wiki kinachorushwa na AzamTvJumapiliusiku.
3
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani (kushoto) ,akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Azam Media TidoMhandoRipoti ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 na Taarifa ya TathminiBaada ya Uchaguzi huo.
Picha na Hussein Makame.
……………………….
Na MwandishiMaalum
MKURUGENZI wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhanamevitakavyombo vya Habari vya Tanzania viige mfano wa wenzao wa Kenya kwa kutumia muda mwingi kutoa Elimu ya Moigakura.
Akizungumza kwenye kipindi cha Mizani ya Wiki kinachorushwa na Kituo cha Televisheni cha AZAMJumapili usiku, Ramadhanalisema moja ya mambo aliyojifunza katika Uchaguzi Mkuu wa Kenya ni jinsivyombo vya Habari vilivyoshiriki katika Uchaguzi huona kuchangia watu wengikujitokezakupigakura..
“Natamaninasisivyombo vya hapanyumbaniviigewenzao wa Kenya ambao walitoa muda mwingi kwa kutoa Elimu ya Mpiga kura,” alisema Ramadhani.
Bw. Ramadhani aliongeza kuwa baadhi ya mambo ambayo amejifunzakwa Tume Huru na Mipaka ya Kenya (IEBC) katika uchaguzimkuuuliomalizikahivikaribuni ni usambazaji wa vifaa katika vituo vya kupigiakura.
Alifafanua kuwa licha ya kuwa Kenya wana vituo vichachetakribani 40,000 vya kupigiakuraukilinganisha na vya Tanzania ambako kuna vituo 65,000, lakinialisemawalifanyavizuri kwenye kusambazavifaa.
Eneo lingiineambalolilimvutiani namna wasimamiziwasaidizi wa Uchaguzi katika Kituo cha kupigiakurawanavyokuwa na uelewamkubwakuhusutaratibu za kupigakura.
KuhusukuruhusuwafungwanaWatanzaniawaliokonjekupigakura, Bw. Ramadhanalisemakwa sasaSheria ya Taifa ya Uchaguzi hairuhusujambo hilo na akaongeza kuwa Tume hainapingamiziiwapowabungewatatungasheriainayoruhusumakundi hayo kujiandikisha na baadayekupigakura.
“Tume ya Uchaguzi hainamamlaka ya kuamuaninaniapigekura, ilatunaongozwa na katiba pamoja na sheria,” alisema.
Akizungumzautaratibuwakupigakurauliotumika Kenya, Bw. Ramadhani alisema ni mzurilakiniakaongeza kuwa utaratibuunaotumiwa na NEC ukowaziukilinganisna na uleuliotumiwa na IEBC.
“Utaratibuwetu ni mzurizaidi kwani unatoafursa ya mawakalakujiridhishakwambamtualiyeendakupigakurandiyemwenyewe, unapunguzakelele,” alisema .
Akilinganishateknolojiailiyotumiwa na IEBC, Ramadhanalisemainawezeshwamtuakipigakurainahesabiwajamboambaloilisababisha  IEBC kutangazamatokeo ya awali ambayo hayajathibitishwa na akaongeza kuwa hilo ni jambo la hatari kwa kuwa matokeo ya piliyakibadilishamatokeo ya awaliinawezakuletasintofahamu.
Alisisitizakwambamfumo ambao unatumiwana NEC badopia ni mzuri kwa kuwa unalengakutangazamatokeo ambayo yameshathibitishwa na yanaletaamani kwa jamii.
“Uchaguzi ulipitatulitangazamatokeo ya urais ndani ya saa 72 kwa hiyo tuliwahikulikowenzetu wa Kenya.”

No comments