Header Ads

Responsive Ads Here

SOKO LA SIDO MWANJELWA MKOANI MBEYA LINATEKETEA KWA MOTO USIKU HUU


SOK1
Taarifa zilizotufikia zinasema Soko la Sido Mwanjelwa linateketea kwa moto jijini Mbeya na kiasi cha vibanda vingi katikati ya soko hilo vimeshateketea na moto unaendelea kupamba moto badi chanzo cha moto huo  hakijajulikana na juhudi za kuzima moto huo zinaendelea taarifa zaidi zitawajia kadiri tutakavyozipata kutoka mkoani Mbeya.

SOK2SOK3

No comments