Header Ads

Responsive Ads Here

SIMBA "YATESTI MITAMBO" TENA, SAFARI HII YAINYUKA MTIBWA SUGAR BAO 1-0

"Mitambo" ya Simba, Emmanuel Okwi, (kulia) na Shiza Kichuya, wakishangilia kufuatia bao alilofunga Okwi mwishoni mwa kipindi cha kwanza dhidi ya Mtibwa Sugar ya Manungu, Turiani mkoani Morogoro kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo Agosti 13, 2017. Okwi alifunga bao hilo kufuatia pasi safi ya "mtambo" mwingine, John Boco.

No comments