Header Ads

Responsive Ads Here

Serikali Yaanza Rasmi Utoaji Lesini za Magazeti na Majarida


PIX0
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa Habari kuhusu kuanza kwa utoaji wa leseni kwa magazeti na majarida leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Habari na Picha Bw. Rodney Thadeus.

PIX1b
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi (katikati) akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu kuanza kwa utoaji wa leseni kwa magazeti na majarida, kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Usajili Bw. Patrick Kipangula na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Habari na Picha Bw. Rodney Thadeus.
PIX2
Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Usajili Bw. Patrick Kipangula (kushoto) akisoma baadhi ya masharti ya kanuni za usajili wa magazeti na majarida kwa Waandishi wa Habari (hawapo pichani) katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Habari na Picha  Bw. Rodney Thadeus.
PIX3
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi (katikati) akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa Habari kuhusu kuanza kwa utoaji wa leseni kwa magazeti na majarida.
PIX4
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi (hayupo pichani) wakati akitoa taarifa ya kuanza kwa utoaji wa leseni kwa magazeti na majarida.
Picha na Idara ya Habari (MAELEZO)

No comments