Header Ads

Responsive Ads Here

Serikali Kuendelea Kushirikiana na Wadau Kufanya Maboresho Mifumo Yake


FP1
Mwakilishi wa OR- TAMISEMI Bw. Allan Bendera akizungumza wakati wa hafla ya ufungaji wa mafunzo kuhusu Mfumo Mpya wa Uandaaji wa Mipango na Bajeti katika Serikali za Mitaa (PlanRep) yaliyomalizika mapema hivi karibuni Jijini Mbeya. Mafunzo hayo yaliwashirikisha watumishi wa kutoka Halmashauri za Mikoa ya Songwe, Njombe, Iringa na Mbeya.

FP2b
Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Bw. Bernard Kilembe akielezea jambo wakati wa hafla ya ufungaji wa mafunzo kuhusu Mfumo Mpya wa Uandaaji wa Mipango na Bajeti katika Serikali za Mitaa (PlanRep) yaliyomalizika mapema hivi karibuni Jijini Mbeya. Mafunzo hayo yaliwashirikisha watumishi wa kutoka Halmashauri za Mikoa ya Songwe, Njombe, Iringa na Mbeya.
FP3
Katibu Tawala Msaidizi Mipango na Uratibu Amza Amen Ndossa kutoka Mkoa wa Njombe akisisitiza jambo wakati wa hafla ya ufungaji wa mafunzo kuhusu Mfumo Mpya wa Uandaaji wa Mipango na Bajeti katika Serikali za Mitaa (PlanRep) yaliyomalizika mapema hivi karibuni Jijini Mbeya. Mafunzo hayo yaliwashirikisha watumishi wa kutoka Halmashauri za Mikoa ya Songwe, Njombe, Iringa na Mbeya.
FP4
Baadhi ya washiriki wa mafunzo kuhusu Mfumo Mpya wa Uandaaji wa Mipango na Bajeti katika Serikali za Mitaa (PlanRep) yaliyomalizika mapema hivi karibuni Jijini Mbeya wakielekezana jinsi ya kutumia mfumo huo. Mafunzo hayo yaliwashirikisha watumishi kutoka Halmashauri za Mikoa ya Songwe, Njombe, Iringa na Mbeya.
Picha na: Frank Shija – MAELEZO, Mbeya

No comments