Header Ads

Responsive Ads Here

SEMINA YA MAFUNZO KAZI KWA VIJANA YAFANYIKA ZANZIBAR.


DSC_0002
Mkurugenzi Ajira Ameir Ali Ameir akisoma ratiba ya Ufunguzi wa Semina kuhusiana na Mafunzo kazi kwa Vijana iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Wilaya ya Magharibi B Unguja.

DSC_0021
Mkurugenzi wa ILO Mary Kawar akitoa hotuba katika Ufunguzi wa Semina kuhusiana na Mafunzo kazi kwa Vijana iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
DSC_0053
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zubeir Ali Maulid akitoa hotuba katika Ufunguzi wa Semina kuhusiana na Mafunzo kazi kwa Vijana iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
DSC_0074
Mtaalamu muelekezi kutoka ILO Ashwani Aggarwal akitoa mafunzo elekezi katika Semina kuhusiana na Mafunzo kazi kwa Vijana iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
DSC_0146
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zubeir Ali Maulid katikati akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Wawakilishi wa Baraza la Wawakilishi waliohudhuria katika Semina kuhusiana na Mafunzo kazi kwa Vijana iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI ALI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments