Header Ads

Responsive Ads Here

RONALDO TENA ATWAA TUZO YA MWANASOKA BORA,AWAPIGA CHINI MESSI NA BUFFON


4387565800000578-4820446-image-a-1_1503596862631
Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ametangazwa kuwa mwanasoka bora wa Uefa Champions League msimu wa 2016-17 na ndiye mwanasoka bora wa Ulaya.
438755A000000578-4820446-image-a-4_1503596964075
Ronaldo amewashinda Lionel Messi na Gigi Buffon wa Juventus na kufanikiwa kubeba tuzo hiyo.
Hata hivyo ilionekana tokea mapema, Ronaldo angebeba tuzo hiyo kutokana na mafanikio aliyopata akiwa na Madrid kwa msimu wa 2016-17.

No comments