Header Ads

Responsive Ads Here

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 29, 2017. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na  Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.
PICHA NA IKULU

No comments