Header Ads

Responsive Ads Here

RAIS DK.SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI NA MWAKILISHI WA UNAIDS NCHINI TANZANIA


DSC_8395
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Mkurugenzi na Mwakilishi wa UNAIDS katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Leopold Zekeng,wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar 

DSC_8405
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na  Mkurugenzi na Mwakilishi wa UNAIDS katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Leopold Zekeng,wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 03/08/2017.

No comments