Header Ads

Responsive Ads Here

RAIS DK SHEIN AFANYA ZIARA WILAYA YA MJINI


DSC_7806
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe. Ayoub Mohamed Mahmoud mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja leo alipoanza ziara ya Wilaya ya Mjini kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo,[Picha na Ikulu.] 19/08/2017.

DSC_7807
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiangalia Ngoma ya Mwandege iliyochezwa na Watoto wakati wa Mapokezi yake mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja leo alipoanza ziara ya Wilaya ya Mjini kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo,[Picha na Ikulu.] 19/08/2017.
DSC_7813
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Viongozi mbali mbali   mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja leo alipoanza ziara ya Wilaya ya Mjini kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo,(pichani) akipeana Mkono na Waziri Kiongozi Mstaafu Mhe.Shamsi Vuai Nahodha,[Picha na Ikulu.] 19/08/2017.
DSC_7839
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wakiwemo Wabunge na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa katika  Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja wakati wa Utoaji wa Taarifa ya Utekelezaji ya Mkoa wa Mjini Magharibi katika ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) iliyoanza leo kwa kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo,[Picha na Ikulu.] 19/08/2017.
DSC_7856
Baadhi ya watendaji mbali mbali wakiwemo Wazee na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa katika  Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja wakati wa Utoaji wa Taarifa ya Utekelezaji ya Mkoa wa Mjini Magharibi katika ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) iliyoanza leo kwa kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo,[Picha na Ikulu.] 19/08/2017.
DSC_7916
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea taarifa ya Utekelezaji ya Mkoa wa Mjini Magharibi kutoka  Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Ayoub Mohamed Mahmoud katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja leo alipoanza ziara yake katika  Wilaya ya Mjini kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo,[Picha na Ikulu.] 19/08/2017.
DSC_7958
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokuwa akizungumza na Viongozi mbali mbali baada ya kupoea taarifa ya Utekelezaji ya Mkoa wa Mjini Magharibi leo  katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja  wakati alipoanza ziara yake katika  Wilaya ya Mjini Unguja kwa kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo,[Picha na Ikulu.] 19/08/2017.
DSC_7970
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokuwa akibadilishana mawazo na Mbunge wa Viti Maalum CCM Bi.Asha Abdalla Juma nje ya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja  wakati alipoanza ziara yake leo katika  Wilaya ya Mjini Unguja kwa kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo,[Picha na Ikulu.] 19/08/2017.

No comments