Header Ads

Responsive Ads Here

PICHA NA MATUKIO KATIKA ZIARA YA KAMATI CHUO CHA KODI NA UHASIBU


kodi 1
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti wakiwa katika katika mkutano na Menejimenti ya Chuo cha Kodi wakati Kamati hiyo ilipofanya ziara kutembelea Chuo hicho kwa lengo la kuangalia utekelezaji wa majukumu ya chuo hicho.

kodi 3uhasibu 1
Mkuu wa Chuo cha Uhasibu (TIA)  cha Jijini Dar es Salaam, Dkt. Joseph Kihanda akisoma taarifa ya utekezaji wa majukumu ya Chuo hicho kwa Kamati ya Bunge ya Bajeti wakati Kamati hiyo ilipofanya ziara chuoni hapo

No comments