Header Ads

Responsive Ads Here

PICHA NA MATUKIO KATIKA KIKAO CHA WAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)


Picha no. 1
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo  Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akifafanua mapato na matumzi ya Taasisi hiyo katika kikao cha wafanyakazi kilichofanyika leo  jijini Dar es Salaam.

Picha no. 2
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Uhasibu na Fedha wa Taasisi ya  Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Robert  Gimbi akizungumza kuhusu umuhimu wa kuwashirikisha watumishi katika uandaaji wa bajeti katika mkutano wa wafanyakazi wa Taasisi hiyo  uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Tulizo Shemu
Picha no. 3
Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Edna Kajuna akielezea umuhimu wa kutoa  huduma bora kwa wagonjwa wanaotibiwa katika Taasisi hiyo wakati wa kikao cha wafanyakazi kilichopfanyika leo jijini Dar es salaam.
Picha no. 5Picha no. 4
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo  Jakaya Kikwete (JKCI) wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi (hayupo pichani) wakati wa kikao cha wafanyakazi  kilichofanyika leo  jijini Dar es Salaam.
Picha na JKCI

No comments