Header Ads

Responsive Ads Here

NAIBU WAZIRI JAFFO AKABIDHI HATI YA USHINDI KWA OFISI YA BUNGE KATIKA SHEREHE ZA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE MJINI DODOMA.


IMGL9038
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Selemani Jaffo (watatu kulia) akimkabidhi hati ya ushindi Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge, Ndg. Nnenelwa Wankanga (kushoto) baada ya Ofisi ya Bunge kuwa washindi watatu katika kundi la Wizara za Sekta ya Huduma za Jamii kwenye Sherehe za Sikukuu ya Wakulima Nane nane zililofanyika jana katika Uwanja wa Nzunguni, Mjini Dodoma.

IMGL9051
Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge wakiongozwa na Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge, Ndg. Nnenelwa Wankanga (wanne kushoto) wakionyesha hati ya ushindi baada ya Ofisi ya Bunge kuwa washindi watatu katika kundi la Wizara za Sekta ya Huduma za Jamii kwenye Sherehe za Sikukuu ya Wakulima Nane nane zililofanyika jana katika Uwanja wa Nzunguni, Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments