Header Ads

Responsive Ads Here

MWIGULU AFUNNGUA KIKAO CHA MAJADILIANO YA MASUALA YA WAKIMBIZI KATI YA SERIKALI NA SHIRIKA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR),JIJINI DAR ES SALAAM


PIX 1
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mwigulu Nchemba, akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha Majadiliano ya Ngazi za Juu kati ya Serikali na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR).Majadiliano hayo yamehusu masuala ya uhifadhi wakimbizi  na suluhisho la kudumu la wakimbizi walioko katika Kambi mbalimbali nchini.Kikao hicho kimefanyika leo,jijini Dar es Salaam

PIX 2
Makamu Kamishna Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR), Volker Turk, akichangia hoja wakati wa Kikao cha Majadiliano ya Ngazi za Juu kati ya Serikali na Shirika hilo.Majadiliano hayo yamehusu  masuala ya uhifadhi wa wakimbizi na suluhisho la kudumu la wakimbizi  walioko katika Kambi mbalimbali nchini.Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mwigulu Nchemba.Kikao hicho kimefanyika leo,jijini Dar es Salaam
PIX 3
Mwakilishi waShirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR) nchini Tanzania, Chansa Kapaya, akichangiahojawakati waKikao cha Majadiliano ya Ngazi za Juu kati ya Serikali na Shirika hilo .Majadiliano hayo yamehusu masuala ya uhifadhi wa wakimbizi na suluhisho la kudumu la wakimbizi   walioko katika Kambi mbalimbali nchini.Kushoto niMakamu Kamishna Mkuu wa Shirika hilo, Volker Turk.Kikao hicho kimefanyika leo,jijini Dar es Salaam
PIX 4
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Hassan Simba Yahaya,akizungumza wakati wa Kikao cha Majadiliano ya Ngazi za Juu kati ya Serikali na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR).Majadiliano hayo yamehusu masuala ya  uhifadhi wa wakimbizi   na suluhisho la kudumu la wakimbizi walioko katika Kambi mbalimbali nchini.Kikao hicho kimefanyika leo,jijini Dar es Salaam
PIX 5
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Nsato Marijani,  akichangiahojawakati waKikao cha Majadiliano ya Ngazi za Juu kati ya Serikali na Shirika hilo. Majadiliano hayo yamehusu masuala ya  uhifadhi wakimbizi na suluhisho la kudumu la wakimbizi   walioko katika Kambi mbalimbali nchini..Kikao hicho kimefanyika leo,jijini Dar es Salaam.
PIX 6
Mratibu wa Mpango wa Kuwahudumia wakimbizi,Dkt. John Jingu,akizungumza wakati wa Kikao cha Majadiliano ya Ngazi za Juu kati ya Serikali na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR).Majadiliano hayo yamehusu masuala ya wakimbizi   na suluhisho la kudumu la wakimbizi walioko katika Kambi mbalimbali nchini.Kushoto ni Mkurugenzi wa CSFM, Prof. Bonaventure Rutinwa. Kikao hicho kimefanyika leo,jijini Dar es Salaam
PIX 7
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mwigulu Nchemba (wanne kulia waliokaa), Makamu Kamishna Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR), Volker Turk(watano kulia waliokaa), wakiwa katika picha ya pamoja na washriki wa Kikao cha Majadiliano ya Ngazi za Juu kati ya Serikali na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR).Majadiliano hayo yamehusu masuala ya  uhifadhi wakimbizi   na suluhisho la kudumu la wakimbizi walioko katika Kambi mbalimbali nchini.Kikao hicho kimefanyika leo,jijini Dar es Salaam.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
………………………
MWIGULU AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA WAKIMBIZI
Na MwandishiWetu
Waziri wa Mambo yaNdaniyaNchi,MwiguluNchemba, amefunguaKikaokinachowakutanishaWadauwaMasualayaWakimbizikutokaSerikaliyaJamhuriyaMuunganowa Tanzania naWatendajiWakuuwaShirika la KuhudumiaWakimbiziDuniani (UNHCR),leojijini Dar esSalaaam.
AkizungumzawakatiwaUfunguzihuo, Mwigulualiwatakawashirikiwakikaohichokujadilikwa kina nakufikiamakubalianojuuyasuala lauhifadhiwakimbizinasuluhisho la kudumu la wakimbizihukuakiahidiSerikaliikotayarikupokeawakimbizikamailivyokuwadesturihukuakisisitizaSerikalihaitumvumiliamkimbiziatakaevunjasherianakuwaasakufanyautaratibuwakurudikatikanchizaowakimbiziambaonchizaohaliyausalamaimerejea.
“Tukiwaleotukokatikakikaohiki cha viongoziwajuuwaSerikalinaUongoziwaShirika la KuhudumiaWakimbizi, ninaimanitutafikiamuafakajuuyasuala la uhifadhiwakimbizinasuluhisho la kudumu la wakimbizi, Serikaliya Tanzania imekuanadesturiyamudamrefuyakupokeawakimbizinakuwahudumia,ilanawaaasawadauwotewashirikianekwapamojakatikakubebagharamazinazohusujambo la kuwahifadhiwakimbizi,” alisemaMwigulu
AkizungumzawakatiwaKikaohicho, MakamuKamishnaMkuuwaShirika la KuhudumiaWakimbiziDuniani (UNHCR), Volker Turk,alisemawamekujanchiniilikujadilisualanzima la uhifadhiwakimbizinakupokeamaonikutokakwanchiwenyejihukuakisisitizalengo la kikaohichonikuonajinsiganichangamotombalimbalizinazoletwanawakimbizizinawezakutatuliwa.
“Napenda kwanza kuishukuruSerikaliya Tanzania nawananchiwanaoishikatikajamiizilipokambizawakimbizikwaukarimuwaowamudamrefuwakuwapokeawakimbizikutokanchimbalimbaliwanaokimbiamachafukokatikanchizao,tunafahamuchangamotowanazopatajamiihizo, ndiomaanatumeombakukutananaSerikalikuonasuluhisho la kudumu la changamotohizo.
KikaohichokimewashirikishawadaumbalimbaliikiwemoSerikalikupitiaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi, Wizaraya Mambo yaNje,OfisiyaMwanasheriaMkuuwaSerikali,OfisiyaRais,WakuuwaMikoazilipokambizawakimbizinaViongoziwajuuwaShirika la KuhudumiaWakimbiziDunianikutokaMakaoMakuunchini Geneva.
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.

No comments