Header Ads

Responsive Ads Here

MWASHIUYA,TAMBWE NA CHIRWA WAREJEA YANGA,WAPO TAYARI KWA VITA YA MIKOANI VPL


tambwe na chirwa
Wachezaji wanne wa Yanga, Amissi Tambwe, Geofrey Mwashiuya, Obrey Chirwa na kipa Beno Kakolanya wameanza mazoezi.
Msemaji wa Yanga, Dismas Ten amesema wachezaji hao wameanza mazoezi na wataanza kuonekana katika mechi zijazo.
“Hali zao zinaendelea vizuri na wataanza kurejea kuitumikia timu katika mechi zijazo,” alisema.
“Kuhusiana na suala la Buswita, hili linashughulikiwa na baada ya muda litapatiwa ufumbuzi,” aliongeza.
Buswita amefungiwa kucheza Ligi Kuu mwaka mmoja baada ya kubainika amesaini timu mbili za Simba na Yanga hata kumeibuka na ukakasi kwa wadau wapenda soka kutokana na kifungo hicho kuwa ni cha kishabiki

No comments