Header Ads

Responsive Ads Here

MRADI WA MAFUNZO KAZI KWA VIJANA WAFUNGULIWA ZANZIBAR.


DSC_0193
Waziri wa Kazi Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Moudline Cyrus Castico kushoto akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wawekezaji Utalii Zanzibar Seif Masoud Miskry mara baada ya kuwasili katika Ufunguzi wa Mradi wa mafunzo kazi kwa vijana ambapo jumla ya vijana 56 wameingizwa katika mradi huo uliofanyika katika Hoteli ya Sea Clife Mangapwani wilaya ya Kaskazini B Unguja.

DSC_0214
Mkurugenzi Ajira katika Wizara ya Kazi Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Ameir Ali Ameir akisoma ratiba ya Ufunguzi  wa Mradi wa mafunzo kazi kwa vijana ambapo jumla ya vijana 56 wameingizwa katika mradi huo uliofanyika katika Hoteli ya Sea Clife Mangapwani wilaya ya Kaskazini B Unguja.
DSC_0267
Mkurugenzi wa ILO kanda ya Afrika Mashariki Mary Kawar akitoa hotuba katika Ufunguzi  wa Mradi wa mafunzo kazi kwa vijana ambapo jumla ya vijana 56 wameingizwa katika mradi huo uliofanyika katika Hoteli ya Sea Clife Mangapwani wilaya ya Kaskazini B Unguja.
DSC_0286
Mmoja kati ya Wanafunzi waliofaulu kuingizwa katika mradi wa Mafunzo kazi kwa Vijana Asia Salum Omar kutoka SUZA akisoma risala kwa niaba ya wenzake katika Ufunguzi  wa Mradi wa mafunzo kazi kwa vijana ambapo jumla ya vijana 56 wameingizwa katika mradi huo uliofanyika katika Hoteli ya Sea Clife Mangapwani wilaya ya Kaskazini B Unguja
DSC_0330
Katibu Mkuu Wizara ya Kazi Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Fatma Gharib Bilal akitoa hotuba na kuyashukuru baadhi ya mahoteli yaliokubali kuwapokea Vijana ambao wameingia katika Mradi wa mafunzo kazi kwa vijana katika Ufunguzi wa Mradi huo uliofanyika katika Hoteli ya Sea Clife Mangapwani wilaya ya Kaskazini B Unguja.
DSC_0377
Muakilishi wa Hoteli ya Breeze /Baraza Nassor Mahrouki akipokea cheti cha Utambulisho katika Ufunguzi  wa Mradi wa mafunzo kazi kwa vijana ambapo jumla ya vijana 56 wameingizwa katika mradi huo uliofanyika katika Hoteli ya Sea Clife Mangapwani wilaya ya Kaskazini B Unguja.
DSC_0382
Muakilishi wa Hoteli ya MELIA Sabra Omar Husein akipokea cheti cha Utambulisho katika Ufunguzi  wa Mradi wa mafunzo kazi kwa vijana ambapo jumla ya vijana 56 wameingizwa katika mradi huo uliofanyika katika Hoteli ya Sea Clife Mangapwani wilaya ya Kaskazini B Unguja.
DSC_0387
Waziri wa Kazi Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Moudline Cyrus Castico akitoa hotuba katika Ufunguzi wa Mradi wa mafunzo kazi kwa vijana ambapo jumla ya vijana 56 wameingizwa katika mradi huo uliofanyika katika Hoteli ya Sea Clife Mangapwani wilaya ya Kaskazini B Unguja.
DSC_0445
Waziri wa Kazi Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Moudline Cyrus Castico katikati akiwa katika Picha ya pamoja na Wanafunzi walioingia katika Mradi wa mafunzo kazi kwa vijana ambapo jumla ya vijana 56 wameingizwa katika mradi huo uliofanyika katika Hoteli ya Sea Clife Mangapwani wilaya ya Kaskazini B Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments